Makatibu Tawala waliobadilishwa vituo vya kazi ni kama ifuatavyo; ⦁ Kigoma – Charles Amos Pallangyo (Kutoka Mkoa wa Geita) ⦁ Morogoro – Dkt. John S. Ndunguru (Kutoka Mkoa wa Kigoma)
Makatibu Tawala waliobakishwa katika vituo vyao vya sasa vya kazi ni kama ifuatavyo; ⦁ Dar es salaam – Theresia Louis Mbando ⦁ Dodoma – Rehema Hussein Madenge ⦁ Iringa – Wamoja Ayubu Dickolagwa ⦁ Katavi – CP Paul Chagonja ⦁ Lindi – Ramadhan Habibu Kaswa ⦁ Mara – Benedict Richard Ole Kuyan ⦁ Manyara – Eliakimu Chacha Maswi ⦁ Mbeya- Mariam Amri Mjunguja ⦁ Mtwara – Alfred Cosmas Luanda ⦁ Mwanza – CP. Clodwing Mathew Mtweve ⦁ Njombe – Jackson Lesika Saitabau ⦁ Rukwa – Symthies Emmanuel Pangisa ⦁ Ruvuma – Hassan Mpali Bendeyeko Makatibu Tawala wa Mikoa 10 ambao wameteuliwa kwa mara ya kwanza, wataapishwa siku ya Jumatano tarehe 27 Aprili, 2016 saa tatu asubuhi Ikulu Jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment