Kiongozi huyo alipata asilimia 60 ya kura zilizopigwa
uchaguzini tarehe 10 Aprili.
Amekuwa madarakani tangu 1990 alipoingia madarakani
kupitia mapinduzi ya kijeshi.
Kiongozi wa upinzani Saleh Kebzabo alimaliza wa pili
akiwa na asilimia 13 ya kura.
Upinzani ulikuwa umetilia shaka uchaguzi huo.
Chad ni mwenyeji wa kikosi cha mataifa matano ambayo
yamechangia majeshi yanayopigana na wapiganaji wa Kiislamu wa Boko Haram kutoka
Nigeria.
0 comments:
Post a Comment