Dereva wa magari yaendayo kasi ya Formula Nico
Rosberg wa timu ya Mercedes ametwaa ubingwa wa michuano ya Bahrain Grand Prix.
Rosberg alipata ushindi huku akimzidi dereva mwenza
wa timu yake Mwingereza Lewis Hamilton ambae gari lake liligonga na katika
raundi ya kwanza.
Dereva wa timu ya Ferrari Kimi Raikkonen alisika
nafasi ya pili katika michuano hiyo.Huku Lewis Hamilton akiambulia nafasi ya
tatu.
Ushindi wa dereva huyu ni watano mfululizo na kumpa
nafasi ya kuongoza kwa alama 17 mbele ya Lewis Hamilton.
0 comments:
Post a Comment