Watu wanne wamefariki dunia kwa kufukiwa na kifusi baada ya udongo kuporomoka katika eneo la Kawe Ukwamani Kwa Ndobe Jijini Dar es Salaam l eo asubuhi .
Watu hao,ambao ni baba na watoto wake watatu,wamekutwa na mauti hayo wakiwa wamelala ndani ya nyumba yao.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na wananchi wame fanikiwa kuitoa miili hiyo kutoka kutoka kwenye kifusi.
Afisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji aliyefika kwenye eneo la tukio ameeleza kuwa kazi ya uokoaji imekuwa ngumu kutokana na mazingira halisi ya eneo hilo.
Japo sababu za kuporomoka kwa kifusi hicho hakijaelezwa, lakini mvua zinazoendelea kunyesha huenda zimesababisha kulainisha udongo na hivyo
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment