Image
Image

Wanajeshi wa Ethiopia wazingira eneo moja nchini Sudan Kusini walipotekwa nyara watoto 100.


Serikali ya Ethiopia inasema kuwa wanajeshi wake wamelizingira eneo moja nchini Sudan Kusini ambapo inaamini zaidi ya watoto 100 waliotekwa nyara wanazuiliwa.
Watoto hao walitekwa katika uvamizi wa mpakani ijumaa iliopita,ambapo zaidi ya watu 200 waliuawa.
Ethiopia imesema kuwa itawavamia washambuliaji wanaodaiwa kutoka katika jamii ya Murle.
Washambuliaji hao wanadaiwa kuingia nchini Ethiopia kutoka Sudan Kusini na kuchukua mifugo na mara nyengine huwateka watoto.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment