Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga akiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na Mke wa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga, Bi Ida Odinga katika katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bi Ida Odinga, huku Raila Odinga akiaagana na Mama Janeth Magufuli katika katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita march 4,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Raila Odiga, Ida Odinga pamoja na Mkewe mama Janeth Magufuli katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpungia mkono wa kwaheri kwa wageni wake, Raila Odinga pamoja na Mkewe Ida Odinga waliofika Chato juzi kwa ajili ya mapumziko na kumpongeza Mhe. Rais
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia watoto aliwakuta kwenye uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita
0 comments:
Post a Comment