Mh. Godbless Lema.
Bunge limeahirisha kwa muda shughuli za bunge hadi mwendo wa sakumi jioni ili kuruhusu kamati ya bunge kanuni na maudhui kuweza kuipitia na kujiridhisha na yaliomo katika hotuba ya msemaji wa kambi rasmi ya upinzi bungeni Mh. Godbless Lema kwaupande wa wizara ya mambo ya ndani.
Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu ametaka Kamati ya Kanuni za Bunge kufuatilia kama hotuba ya Upinzani Wizara ya Mambo ya Ndani inakidhi kanuni za Bunge ama la.
Home
News
Slider
Bunge laahirishwa hadi mwendo wa sakumi kupisha Kamati ya Kanuni kupitia hotuba ya upinzani.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment