Raia wenye umri wa miaka 36 wanapaswa kutimiza masharti 72 ilikuwaeza kuondolewa viza na kuingia barani Ulaya.
Iwapo hatua hiyo itachukuliwa itatangazwa rasmi hapo kesho baada ya kupitishwa.
Kutachunguzwa kuwa Uturuki imetimiza masharti hayo ya Umoja wa Ulaya.
Star Tushirikiane kuunda gari
Baada
ya kuathirika kwa kiasi kikubwa na vikwazo vyilivyowekwa dhidi ya Iran
kwa mrefu, Iran na Uturuki zimeonesha ushirikiano wao na juhudi za
kutaka kuunda gari kwa ushirikiano.
Tume ya wawakilishi kutoka Uturuki ilijielekeza nchini Iran baada ya kuondolewa kwa vikwazo hivyo.
Zaidi
ya wajumbe 70 waliwasili mjini Tehran na kufanya mazungumzo na Erdal
Bahçıvan ambae anahusika na kitengo cha teknolojia na viwanda nchini
Iran.
Kulifanyika pia mkutano baana ya mawaziri wawili ambapo walizungumzia maendeleo ya viwanda.
Waziri
wa biashara wa Iran Reza Nematzadeh alifahamisha kuwa ushirikiano bain
aya Iran na Uturuki unamatumaini ya kutoa matunda na kuonesha matumaini
ya kuweza kuunda gari na kuingia katika soko la kimataifa.
Hurriyet "pete ya muundo wa kituruki kwa Beyonce"
Wapenzi wa muziki nchini Uturuki wamevutiwa pia na mtindo uliochukuliwa na mwanamuziki Beyonce kutoka Marekani.
Pete iliovaliwa na Beyonce inafahamika pia katika jamii ya Utturuki.
Nyota
wa muziki na mke wa msanii Jay Z,Beyonce Knowles alimwimbia mumewe
kibao chake cha zamani cha 'Halo' Miami kukomesha uvumi kuwa ndoa yake
haiendi vizuri.
Uvumi huo ulianza wiki moja iliyopita baada ya mwanamuziki huyo kutoa albamu yake mpya kwa jina la 'Lemonade'.
Lemonade ni video ya muziki inayoonyesha masaibu anayopitia mwanamke mweusi nchini Marekani.
Vatan Chombo cha kuchapisha 3D chaundwa Uturuki.
Baada ya Marekani,Ujerumani na Urusi Uturuki inaunda chombo cha kuzalisha bidha za metali za 3D.
Kifaa hicho kitaweza kuunda bidhaa mpya na pia kurekebisha vyombo vilivyoharibka.
Ndge aina za F16 na sialaha zitarudishwa hali yake ya zamani.
Matatizo ya kuwa na uhaba wa vipuri vya sekta ya viwanda na sekta ya ulinzi utatatuliwa na chombo hico cha uzalishaji cha 3D.
0 comments:
Post a Comment