Rais Jamhuri wa Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila.
Naibu Waziri Enock Ruberangabo aliyetimuliwa kwa kujichua Ofisini.
Rais
Jamhuri wa Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila amemtimua kazi Naibu
Waziri wa Posta na Mawasiliano kutokana na kusambaa kwa video
inayomuonesha akijichua (kufanya masturbation).
Kwa mujibu wa televisheni ya taifa, RTNC, Kabila amedai waziri huyo, Enock Ruberangabo Sebineza ameliabisha taifa.
Tangu Alhamis iliyopita hadi Ijumaa,Video
hiyo imekuwa ikisambaa mtandaoni ikimuonesha waziri huyo akijichua
ofisini kwake. Nyuma yake inaonekana bendera ya nchi hiyo na picha ya
Rais Kabila.
Wananchi wengi wamekasirishwa na video hiyo na kumtaka ajiuzulu.
Bofya hapa kuona video nzima.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment