Naibu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Walemavu, Antony
Mavunde amekifunga kwa muda kiwanda cha kutengeneza mbao nyepesi cha S
& Y Company Ltd na kuwatoza wamiliki faini ya papo hapo ya Sh4
milioni na kuwataka raia 10 wenye asili ya China kujisalimisha Uhamiaji.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment