Polisi
mkoani Morogoro inawasaka watu sita kwa tuhuma za kufyatua risasi
iliyosababisha kifo cha Joseph Abubakar walipovamia duka alilokuwa
ananunua mahitaji yake katika eneo la Mkundi katika Manispaa ya
Morogoro.
Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, Ulrich Matei amesema
tukio hilo lilitokea Aprili 30, mwaka huu, saa tatu usiku, pale
majambazi hayo yalivamia duka la Derigo Joseph kwa lengo la kuiba na
ndipo yalipofyatua risasi.
Home
News
Slider
Polisi linawasaka watu sita kwa tuhuma za kufyatua risasi na kusababisha kifo Morogoro
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment