Image
Image

Nchi za Afrika zaombwa kuongeza bajeti za Kilimo ili kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi

Wakulima wadogo kutoka nchi za Kusini na Mashariki mwa Bara la Afrika wameziomba Serikali za Nchi hizo kuongeza bajeti za kilimo ili kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi kupitia Kilimo ambacho kinategemewa na Mataifa mbalimbali Duniani.
Wakulima hao kupitia Mtandao wa wakulima wadogo wa Nchi hizo ESAFF wanasema pia kunahitajika Sera nzuri za Kilimo ambazo zitawanufaisha na kuweza kumudu kuendesha familia zao kutokana kile wanachodai kuwa wakulima wengi kuwa na maisha duni.
Mkutano wa Wakulima wadogo wa nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika umefanyika Jijini Dar Es Salaam na kufadhiliwa na Umoja wa Ulaya ambapo wakulima wamepata fursa ya kuziomba Serikali zao kuongeza ufanisi wa kilimo na kuwafanya wakulima hao.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment