Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt.
John Pombe Magufuli akikagua gwaride kabla ya kutunuku Kamisheni kwa
Maafisa Wapya 586 wa jeshi la Wananchi wa Tanzania kundi la 58/15 katika
chuo cha kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha Mei 07,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt.
John Pombe Magufuli akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya 586 wa jeshi
la Wananchi wa Tanzania kundi la 58/15 katika chuo cha Mafunzo ya
kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt.
John Pombe Magufuli akimpongeza Afisa Mpya wa cheo cha Luteni Usu,
Nasra Rashid ambaye alifanya vizuri zaidi kuliko Maafisa Wanafunzi
wanawake katika chuo cha kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi ya wananchi General Davis Mwamunyange mara baada ya
kuwasili kwenye chuo cha Mafunzo Kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.
Maafisa Wanafunzi wakipita kwa mwendo wa haraka mbele ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli kabla ya kutuniwa Kamisheni .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa
Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli TMA Meja Jenerali Paul Peter
Massao kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya 586 katika chuo
hicho cha Monduli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja
na baadhi ya Maafisa wapya aliowatunuku Kamisheni katika cha Mafunzo
Kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha. Wengine katika picha ni Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi ya wananchi Jeneral Davis Mwamunyange , Mkuu wa Chuo
cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli TMA Meja Jenerali Paul Peter Massao,
Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Maafisa wa ngazi za juu
katika Jeshi la UlinzI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt.
John Pombe Magufuli akitembea kikakamavu mara baada ya kutoka kukagua
gwaride katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli TMA mkoani
Arusha.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo na Mkuu wa majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange
katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli mara baada ya kutazama
picha za Majenerali wastaafu waliongoza Jeshi la Wananchi katika miaka
ya nyuma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt.
John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Ngarenaro waliomsimamisha
wakati akitokea kwenye chuo cha Mafunzo ya Kijenshi cha Monduli mkoani
Arusha.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Kona ya Nairobi eneo la Arusha
Tech mara baada ya kutoka kutunuku Kamisheni kwa maafisa Wapya katika
Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli mkoani Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt.
John Pombe Magufuli akikagua gwaride kabla ya kutunuku Kamisheni kwa
Maafisa Wapya 586 wa jeshi la Wananchi wa Tanzania kundi la 58/15 katika
chuo cha kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha Mei 07,2016
Home
News
Slider
Rais Magufuli awatunuku kamisheni Maafisa 586 katika chuo cha Maafisa wa JWTZ Monduli.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment