Image
Image

Vifaranga na Mayai ya Samaki 50,00 vyakamatwa uwanja wa Ndege DSM.

Vifaranga elfu tano vya kuku vyenye thamani ya  shilingi Milioni  Ishirini vimezuiliwa uwanja wa ndege wa Kimataifa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam pamoja na Mayai ya Samaki kutoka nchini Malawi kwa kutokuwa na vibali vya biashara ya mifugo hiyo baina ya Tanzania na Malawi.
Katibu Mkuu Wizara ya  Kilimo, Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia uvuvi Dokta Maria Mashingo.amesema vifaranga hivyo vikiingia sokoni vitaharibu  soko la wazalishaji wa ndani.
Amesema kuwa vinasababisha maradhi kwa binadamu yakupatwa na mafua ya ndege samamba na uwezekano wa kusambaza maradhi kwa  Mifugo,hivyo watahakikisha kuwa wahusika wote wanafikishwa katika vyombo vya sharia na kuchukuliwa hatua.
Video na ITV.


5
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment