Image
Image

Wananchi wilayani Tandahimba mkoani Mtwara wameiomba serikali kuwapelekea Sukari.

Wananchi wilayani Tandahimba mkoani Mtwara wameiomba serikali kuwapelekea sukari ili waondokane na adha wanayoipata ya ukosefu wa bidhaa hiyo
Wakazi hao wamesema uhaba wa sukari umesababisha adha katika matumizi ya familia na mama lishe wanaotegemea bidhaa hiyo katika biashara za chakula.
Hivi karibuni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itaingiza nchini tani elfu sabini za sukari ili kukabiliana na upungufu wa bidhaa hiyo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment