Timu
ya kimataifa ya wanasayansi imekamilisha utafiti mkubwa zaidi kuwahi
kutokea wa maumbile ya saratani ya matiti, ambayo wanasema inawapa
karibu picha kamili ya nini husababisha ugonjwa huo.
Wanasayansi hao
wanajaribu kutizama mfuatano wa jinomu kamili wa kesi zaidi ya mia tano
za saratani ya matiti.Utafiti huo unaoongozwa na taasisi ya Cambridge
umeweza kugundua aina tano mpya za visababishi (seli) vya ugonjwa huo.
Utafutu
huo walau unaweka wazi uhakika wa asilimia 93 kama seli hizi
zikibadilika kuweza kusababisha uvimbe.Watafiti wanasema kuwa taarifa
hizi zitaweza kusababisha kupatikana matibabu kamili kwa binadamu.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment