Ofisi ya taifa ya Takwimu kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Serikali na za kimataifa zimekamilisha mchakato wa kukusanya taarifa za ugonjwa wa UKIMWI zikiwemo za watoto wadogo kwa nchi nzima utafiti ambao ni mara ya kwanza kufanyika nchini.
Ofisi ya taifa ya takwimu kwa kushirikiana na tasisi mbalimbali za serikali na za kimataifa zimekamilisha mchakato wa kukusanya taarifa za ugonjwa wa ukimwi zikikiwemo za watoto wadogo kwa nchi nzima utafiti ambao ni mara ya kwanza kufanyika ukiwa unahusisha watakalaamu kutoka katika sekta mbalimbali lengo likiwa ni kujuwa ni kwa kiasi gani ukimwi bado
Hayo yamesemwa na mkurugenzi mkuu wa ofisi ya taifa ya takwim Dk Alibina Chuwa wakati akipokea msaada wa magi kutoka katika taasisi ya kimtaifa ya ICAP,magari yatakayoumika kutembea nchini nzima kukusanya taarifa hizo.
Naye mkurugenzi mtendaji wa tume ya taifa ya kudhibiti ukimwi TACAIDS Dk.atma Mrisho amesema utafiti huo utaisaidia Serikali kujua ukubwa wa ugonjwa wa ukimwi nchini.
Home
Afya
Slider
Ofisi ya Takwimu na Taasisi za Kimataifa zakamilisha mchakato wa ukusanyanyi taarifa za UKIMWI kwa Watoto.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment