Shirila la ugavi wa umeme nchini TANESCO limesema linafanya kila liwezekanalo upatikanaji wa umeme nchini uimarike nchi nzima lengo likiwa ni kuhakisha kuwa wanachi wote wanapata huduma hiyo kwa uhakika na kuweza kubuni miradi ambayo itawajengea uwezo wa kiuchumi kama viwanda
Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi wa shirika hilo na Mkurugenzi Mtendaji Mhandishi Felichimi Mramba amesema hayo wakati wa mkutano wa baraza hilo uliowahusisha wajumbe kutoka mikoa mbalimbali.
Kwa upande wake naibu katibu mkuu wizara ya Nishati na Madini Profesa James Mdoe amelitaka shiriki hilo kuongeza kasi katika utoaji huduma zake kwani watanzania wana matumaini makubwa sana na shirika hilo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment