Baada ya Ukurasa wetu wa Facebook wa awali kupata hitilafu,Tambarare Halisi inakualika kujumuika nasi katika kulike Ukurasa wetu Mpya tuliouzindua hivi Punde.
Ku Like ukurasa wetu utakuwezesha kuwa mwanafamilia wa Tambarare Halisi na kufaidi kila kinapotufikia katika nyanja za Siasa,Jamii, Uchumi, Michezo na Burudani pamoja na Masuala Mengine.
Vivyo hivyo itakuwa nijambo jema pia kama ulikuwa hujui wapi pa kupata taarifa basi niwakati wako kupata taarifa, tunawashukuru wadau pia ambao wanaendelea kutembelea Blog yetu ya http://tambararehalisi.blogspot.com/ wanaendelea kutupa matumaini yakuwalisha taarifa kila mara na zinapo tufikia.
Mshirikishe Mwenzio aweze Ku Like Ukurasa wetu wa https://www.facebook.com/tambararehalisi/ awe wakwanza kupata taarifa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment