Image
Image

Viongozi wanaodaiwa kuhusika na uchochezi wa migogoro ya ardhi Simanjiro Wabanwa

Kamati ya Ulinzi na  Usalama Wilaya ya Simanjiro imeanza  kuwahoji viongozi  wanaodaiwa kuhusika katika uchochezi wa  migogoro ya ardhi  inayoongezeka kwa kasi kubwa kwenye maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo .
Migogoro hiyo inadaiwa  kuchangia kurudisha nyuma maendeleo ya wananchi hu ku ikiahidi kuchukua hatua za sheria dhidi yao .
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Simanjiro, ambaye ni Mkuu wa wilaya hiyo, MAHAMOUD KAMBONA ametoa kauli hiyo kwenye Mji wa  Olkesumet, Wilaya ni  Simanjiro  wakati akipo kea  mchango wa madawati kwenye shule za msingi za mji mdogo wa Olkesumet kutoka kwa wasamari a  wema .
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment