Watu 15 wameripotiwa kufariki katika shambulizi lililotekelezwa dhidi ya hospitali na soko moja mjini Aleppo nchini Syria.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kikosi cha kulinda usalama Aleppo zimafahaƶisha kuwa mapipa matatu yaliokuwa na vilipuzi yalitupwa na helikopta moja ya serikali na kulipuka yamesababaisha vifo vya watu 15 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa.
Nejib Ansari muhusika katika kituo cha asalama kataika kitongoji cha al-Chaar, kaskazini mwa Syria amefahamisha kuwa helikopta hiyo ililenga hospitali ya al- Bayan ambayo inapatikana katika eneo ambalo linamilikiwa na wapinzani wa rais Assad.
Tukio hilo limesababisha uharibifu mkubwa katika eneo hilo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment