Image
Image

Watu wanne wafariki katika ubadilishanaji wa risasi Tel-Aviv Israel.

Watu wanne wameripotiwa kufariki na wengine wanane kujeruhiwa Jumatano majira ya jioni.
Watu wawili waliokuwa na silaha walifyatua risasi katika mtaa mmoja ulio na migahawa kwenye umbali kadha na  wizara ya ulinzi mjini Tel-Aviv.
Taarifa hiyo ilitolewa na uongozi wa Polisi mjini Tel-Aviv.
Taarifa kutoka katika hospitali ya Ichilov imethibitisha vifo vya watu hao wanne.
Taarifa kutoka idara ya Polisi kwa upande wake imefahamisha kuwatia mbaroni walioendesha tukio hilo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment