Mwendesha Pikipiki aina ya tvs star yenye namba za usajili t 270 egm amefariki dunia kufuatia ajali iliyohusisha Gari aina ya Fuso lililokuwa limebeba mchele wakati lilitokea wilayani kahama kugongana na gari aina ya Scania iliyokuwa imebeba bidhaa mbalimbali zikiwemo sabuni.
Kufariki kwa Mwendesha Bodaboda Bwana.KABEYA FURGENCE nikufuatia gari iliyokuwa imebeba sabuni kumlalia baada ya kufeli break na kupinduka wakati akiwamo kandokando ya barabara hiyo.
Ajali hiyo imetokea maeneo ya Rwamishenye yaliyoko nje kidogo ya mji wa Bukoba lililoko kwenye eneo la barabara kuu iunganishayo mkoa wa Kagera na maeneo ya mikoa ya jirani, gari aina ya Fuso yenye usajili namba T.620 AWT lilikuwa likielekea mtukula na gari aina ya Scania yenye usajili namba T 789 DDV ilikuwa ikielekea kwenye maeneo ya mji wa Bukoba.
Taarifa zaidi tutawajuza, Like Page yetu ilikuweza kupata taarifa zaidi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)




0 comments:
Post a Comment