Mchekeshaji Maarufu kutoka nchini Kenya amefunguka
kuhusu ndoto aliyokuwa nayo kabla ya kuingia katika sanaa ya uchekeshaji,
nakusema kuwa ndoto yake kubwa ilikuwa ni kuwa mtangazaji lakini imeshindikana.
Kipaji cha uchekeshaji wake ndio kimeghilibu ndoto
ya OMOND kufikia lengo alilokuwa akilihitaji kwa muda mrefu sanaa, laki hajutii
kwakuwa mlango mmoja ukifungwa hufunguliwa mwingine na kujipatia riziki ya
siku.
Moja ya mambo anayoyajuta ERIC OMOND Nibaada ya kazi
yake hiyo ya uchekeshaji kumtia aibu siku moja kwa zaidi ya saa moja kuchekesha
watu nakuto cheka jambo lililo mfanya kuona sasa kazi kweli kweli.
Tizama Video hii namna anavyoeleze kwa kina.
0 comments:
Post a Comment