Image
Image

Kiwanda bubu cha kuchakata vilainishi chafungiwa na TBS.


TBS imekifungia kiwanda bubu cha kuchakata vilainishi ambacho kipo katika eneo la temeke sambamba na kumkamata mmiliki wa kiwanda hicho kwa kukiuka misingi ya uendeshaji wa biashara ya vilainishi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment