Image
Image

Rais Magufuli azindua mpango wa ugawaji Madawati jijini Dar es Salaam.

Katika kuhakikisha kuwa kila mwanafunzi anakaa kwenye dawati na kusoma kwa raha mstarehe hivi leo Rais John Pombe Magufuli amezindua Mpango wa ugawaji madawati 120000 yaliyogharamiwa na mfuko wa Bunge ambapo kwa awamu ya kwanza tayari madawati 60000 yamekwisha kamilika.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment