Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, MWIGULU NCHEMBA ameagiza wale wote walioshiriki kumpiga na kumfungia kwenye konteina kijana MASANJA SHOKAA kuwekwa chini ya ulinzi ili kulisaidia jeshi la polisi.
Ametoa agizo hilo alipotembelea mgodi wa Nyamahuna unaomilikiwa na raia kutoka China uliopo Wilayani Geita unaodaiwa kuwa na tabia ya kutesa na kuua wafanyakazi wake.
Picha za mateso ya wafanyakazi katika mgodi huo kwa muda wa wiki moja sasa zimekuwa zi kisambazwa katika mitandao ya jamii .
Kijana SHOKAA aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu alidaiwa kufung i wa ndani ya kontena na kupigwa kwa magongo na fimbo mpaka alipozimia na hatimaye kufikishwa kituo cha polisi kufunguliwa mash i taka ya wizi.
Waziri NCHEMBA amesema uchunguzi wa awali unaon esha kumekuwepo na tabia ya kuwabambikizia kesi wafanyakazi wanaoonekana mstari wa mbele kudai maslahi yao
Katika hatua nyingine imebainika kuwa katika mgodi huo kuna wahamiaji haramu zaidi ya 50 huku kukiwa na vibali ishirini na vi nane vya ra ia wa China walioingia nchini kwa njia halali .

0 comments:
Post a Comment