Wanasayansi na watafiti wa kimataifa wamempongeza Rais Dakta .JOHN MAGUFULI kwa hatua anazochukua kuimarisha uwajibikaji na utawala washeria.
Wamemuomba kuongeza nguvu kusimamia na kulinda mazingira, rasilimali za asili na viumbe hai wakiwemo wanyamapori.
Akizungumza katika mahojiano na Waandishi wa Habari mmoja wa watafiti hao,Dakta.JANE GOODAL
anayejihusisha na utafiti wa sokwe duniani amesema, hatua
zinazoendelea kuchukiliwa zimeanza kurudisha matumaiani ya
wataalam na watafiti.
Naye mtafiti wa masuala ya mimea na
viumbe wa aina mbalimbali, Dakta ANTONY COLINS amesema Tanzania ni
miongoni mwa nchi chache duniani ambazo bado zina utajiri mkubwa wa rasilimali ambazo zinatosha kuendesha uchumi iwapo zikisimamiwa vizuri.
Home
News
Slider
Wanasayansi na watafiti wampongeza Magufuli kwa hatua anazochukua kuimarisha uwajibikaji.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment