Image
Image

Watuhumiwa 10 wa meno ya Tembo yenye zaidi ya Bilioni 4 wafikishwa KISUTU na kusomewa mashitaka.

Watuhumiwa 10 waliokamatwa Na vipande zaidi ya 600 vya Meno ya tembo vyenye thamani ya dola milioni 2 .1sawa na zaidi ya shilingi bilioni 4 za Tanzania wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu na kusomewa Mashtaka matatu.
Source:ITV.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment