Arsenal
haikuwa na mda wa kuwaanda wachezaji wake baada ya michuano ya Euro2016
na hawakuwa na uzoefu katika mechi walioshindwa na Liverpool kwa mabao
4-3 kulingana na mkufunzi Arsene Wenger.
The Gunners walioongoza
1-0,walifungwa mara tatu katika kipindi cha pili na hivyobasi kuwalazimu
kuanza ligi ya Uingereza na kipigo.
Baadhi ya wachezaji waliorudi walikuwa hawako tayari,alisema Wenger ambaye alizomwa na mashabiki katika uwanja wa Emorates.
''Tulilazimika kuadhibiwa.Ni hali ambayo lazima uadhibiwe''.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment