Image
Image

Eliud Kipchoge ashinda mbio za Marathon Olipmipiki mjini Rio

Mwanariadha wa Kenya Eliud Kipchoge ameshinda mbio za Marathon, kilomita 42 kwa upande wa wanaume katika mashindano yanayoendelea mjini Rio nchini Brazil.
Kipchoge alitwaa ushindi huo kwa kutimka kwa muda wa masaa 2:8:44
Feyisa Lilesa wa Ethiopia alimaliza wa pili akiwa nyuma ya Kipchoge kwa sekunde 70 ili kushinda fedha naye raia wa Marekani Galen Rupp akimaliza wa tatu na kujishindia medali ya shaba.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment