Drake na Diddy waligombana mwaka 2014, baada ya wote kupewa wimbo wa
“0 to 100 / The Catch Up,” ambapo Diddy alikuwa na imani kuwa Drake
alimuibia wimbo huu.
Pia Diddy alimpiga kofi Drake na hata Meek Mill kwenye wimbo wa “Wanna Know.” kuwa “Puffy almost caught a domestic when he smacked that bitch,”
Drake na Diddy walimaliza matatizo yao kwa maongezi kwenye simu na wiki hii Diddy ameenda kwneye show ya “Summer Sixteen Tour” mjini Greensboro.

0 comments:
Post a Comment