Kabla ya uteuzi
huo Bw. Andrew Wilson Massawe alikuwa Mkurugenzi wa Mifumo ya Kompyuta katika
Benki Kuu Tanzania (BOT).
Bw. Andrew Wilson
Massawe anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Modestus Francis Kipilimba
ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Uteuzi wa Bw.
Andrew Wilson Massawe unaanza mara moja.
Gerson
Msigwa
Kaimu
Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es
Salaam
25 Agosti,
2016


0 comments:
Post a Comment