Muogeleaji
wa Marekani Ryan Lochte amepoteza mikataba yake yote minne ya udhamini
baada ya wenzake watatu kudanganya kuwa waliibiwa na wezi waliokuwa na
silaha katika michuano ya Olimpiki iliyofanyika mjini Rio.
Kampuni ya
uogeleaji ya Speedo ilikuwa ya kwanza kusitisha mkataba wake ikifuatiwa
na Luxury retailer, Ralph Lauren, The Skin Care company,na Kampuni ya
matress na Airweave.
Lochte bado anakabiliwa na mashitaka ya kujibu kwa mamlaka ya michezo nchini Brazil ikiwa ni uhalifu pamoja na utovu wa nidhamu.
Mwandishi wa BBC amesema kuwa muogeleaji huyo anaweza kutokushiriki kabisa mashindano mengine ya kuogelea.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment