Image
Image

Ndege ya kivita ya Libya yaanguka katika mji wa Sirte.

Ndege ya kivita inayomilikiwa na serikali ya maridhiano ya Libya imeripotiwa kuanguka katika mji wa Sirte.Msemaji wa kikosi maalum cha operesheni Muhammed el-Gusri alitoa maelezo na kuarifu kuanguka kwa ndege hiyo aina ya MiG wakati wa operesheni dhidi ya kundi la DAESH.
Gusri alielezea kwamba ndege hiyo ilipoteza mawasiliano kabla ya kuanguka ingawaje chanzo cha ajali hiyo bado hakijabainika.
Kikosi cha serikali ya maridhiano ya Libya kimekuwa kikiendesha operesheni dhidi ya kundi la DAESH tangu Januari 2015 katika mji wa Sirte pamoja na maeneo jirani.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment