Image
Image

Serikali ya Zanzibar yatangaza siku 7 za maombolezo kufuatia kifo cha Alhaj Aboud Jumbe.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ,   D akta   ALLY MOHAMMED  SHEIN ametangaza sik u saba za maombolezo ambapo bendera zutapepea nusu mlingoti kufuatia kifo cha aliyekua Rais wa awamu ya Pili Zanzibar , Alhaj  ABOUD JUMBE MYINYI kilichotokea jana nyumbani kwake Mji mwema Kigamboni Jiji n i Dar es Salaam .

Mwili wa  marehemu ABOUD JUMBE MWINYI  (Pichani) tayari umewasili  Zanzibar, kwa maziko  yanayotarajiwa kufanyika  baada ya swala ya adhuhuri  mchana huu kwenye makaburi ya familia , Migombani, Zanzibar.
Enzi za uhai wake inaelezwa kuwa aliwahi kuacha usia kuwa maziko yake yawe ya kawaida yasiyokuwa na taratibu za Serikali, kama upigwaji wa mizinga na mambo mengine.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment