Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Link Education, Abdumaliki Mollel amesema hayo leo jijini Dar, kuwa vyuo vya nje viko tayari kupokea
vijana wenye sifa hizo.
Mollel
amesema kuwa vijana wasikate tamaa Global Link Education iko kwa ajili
ya yao katika kuhakikisha ndoto zao hazipotei kutokana na kukosa nafasi
katika vyuo vya ndani
Amesema kuwa wazazi waache kuogopa gharama za kusoma vyuo vya nje kwani gharama
za kusoma nje ni sawa na vyuo vya ndani hivyo vijana watumie furssa hizo.
Mollel
amesema ndani ya nchi mwanafunzi anachukuliwa kujiunga na elimu ya juu
kwa sifa kuanzia alama D sawa pointi 4 kama mfumo mpya wa Tume ya Vyuo
Vikuu nchini (TCU) na mfumo huo ndio
utakaotuumika kwa mtu yeyote kwnda kusoma nje ya nchi
Amesema wazazi na wanafunzi wanachanganywa na mfumo huo na kutaka kuacha
kutishika kutokana kuwa uwezo wao kusoma nje bado wanao.
Aidha
amesema kuwa global link education inawaka vijana na wazazi
kuchangamkia fursa zilizopo katika kusoma nje na mazingira ya vyuo hivyo
vina uwezo naa ubora katika utoaji wa elimu katika fani mbalimbali.
Amesema
kuwa wanafunzi kuwa kuna watu wamesoma masomo ya sayansi lakini
kutokana vyuo vya udaktari kuwa vichache wanakosa nafasi hivyo
wanashindwa kufurahi na masomo hayo ktika kuwaaletea matunda.
Home
News
Slider
VIJANA WENYE UFAULU WA G.P.A YA 2.5 WANAWEZA KUSOMA VYUO VYA NJE KUTOKANA NA UFAULU HUO KUKUBALIKA.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment