Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva amesema timu yao itatwaa ubingwa wa
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, kutokana na uimara wa kikosi chake.
Aveva amesema wamejipanga kuhakikisha wanaliwezesha kila kinachohitajika benchi lao ili kuhakikisha wanatimiza malengo yao.
Anasema wameanza vizuri anaamini watamaliza vizuri kwa kuwa mabingwa na kwa sasa wanataka kuboresha benchi la ufundi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment