Mbunge wa Tarime John Heche (UKAWA-Chadema) amefanikiwa kulishawishi bunge kuridhia posho za leo tarehe 13 za wabunge zipelekwe kagera kwa wahanga wa Tetemeko.
Katika
hoja yake mbunge huyo machachari amewataka wabunge waondoe tofauti zao
na kukubali posho zote za wabunge leo zikasaidie wahanga hao wa
tetemeko.
Wabunge wote kwa pamoja bila kujali tofauti zao wameridhia hoja hiyo kwa asilimia mia moja
0 comments:
Post a Comment