Kiongozi
wa upinzani nchini Tanzania, Edward Lowassa ameeleza wasiwasi wake
kuhusu kile anachokitaja kama dalili za udikteta kwenye uongozi wa Rais
wa Tanzania, John Pombe Magufuli.
Amesema hiyo ndiyo iliyokuwa sababu ya kuanzisha kampeni ya Ukuta.
Bw
Lowassa aliwania urais wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka jana kwa
tiketi ya chama cha Chadema lakini akashindwa na Magufuli wa Chama Cha
Mapinduzi, CCM.
Mwandishi wa BBC John Nene amezungumza na Bw Lowassa mjini Nairobi, na anaanza kwa kuzungumzia uongozi wa Bw Magufuli.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment