ASILIMIA 21 ya watanzania ndio pekee wanawajua wakurugenzi wao wa
Halmashauri (DED) huku asilimia 40 wanawajua wakuu wao wa wilaya na
asilimia 38 tu ya watanzania wote ndio wanawajua wakuu wao wa Mikoa.Taarifa ya Utafiti wa taasisi ya Twaweza imebainisha hayo leo.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment