Kiongozi wa kundi la waasi la Sudan kusini , Riek Machar, ametoa wito kuwa kuna vuguvugu la kivita la kuipinga Serikali la nchi hiyo.
Kiongozi
huyo ambaye pia makamu wa Rais wa zamani nchini humo amesema hayo
nchini Sudan baada ya kukutana na kuzungumza na wafuasi wa kundi lake
ambao bado wanamuunga mkono.
Pamoja na kauli yake hiyo bado baadhi
ya viongozi wa juu wa kundi lake hawamuungi mkono tena kutokana na
kitendo cha kukimbia mji mkuu wa Sudan kusini uitwao Juba na kutelekeza
wadhifa wake wa umakamu wa Rais.
Mmoja wao ni Taban Deng ambae
amejiunga na serikali na sasa amerithishwa wadhifa wa makamu wa rais
nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Bwana Rieck Machar .
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment