Mkutano wa 53 wa viongozi wa nchi wanachama wa Shirika la Maendeleo
la Serikali za Nchi za Afrika Mashariki, IGAD unafanyika leo katika mji
mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Viongozi kutoka nchi wanachama wa IGAD watajadiliana kuhusu
usalama, maendeleo, na kufuatilia maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao
utakaofanyika mwezi huu na mwezi wa Oktoba nchini Somalia.
Hii ni mara ya kwanza kwa nchi ya Somalia kuandaa mkutano wa ngazi za juu katika miaka 30 iliyopita.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment