Eneo la ajali ya ndege ya kibiashara
inayomilikiwa na Ujerumani ilikotokea karibu na maeneo ya mji mkuu wa
Skopje nchini Macedonia limebainishwa.Wizara ya mambo ya ndani
nchini Macedonia imetoa maelezo na kutangaza kuanguka kwa ndege hiyo
iliyopoteza mawasiliano katika kijiji cha Kojle eneo la Katlanovo
lililoko kiungani mwa mji wa Skopje katika umbali wa kilomita 6.
Timu ya uokoaji na vikosi vya usalama zimeripotiwa kufikishwa katika eneo hilo ingawa maelezo zaidi kuhusu hatima ya waathirika hayakutolewa.
Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani Dejana Nedelkovic amerifu kwamba ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 6 wanaojumuisha raia 4 wa Kitaliano, 2 wa Kosovo.
Maelezo zaidi yanaarifu kwamba ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kuelekea mji mkuu wa Prishtina nchini Kosovo baada ya kuruka kutoka mji wa Treviso nchini Italia.
Baadaye ndege hiyo ilipata ajali na kuanguka karibu na mji wa Skopje nyakati za jioni baada ya kupoteza mawasiliano.

0 comments:
Post a Comment