Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli, leotarehe 21 Septemba, 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi
ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof. Hasa Mlawa kuanzia leo.
Pamoja kutengua uteuzi wa Prof.HasaMlawa, Rais
Magufuli amevunja Bodi ya Udhamini ya Mfukohuo.
Uteuzi wa Mwenyekiti mpya waBodi yaUdhamini ya LAPF
utafanywa baadaye.
GersonMsigwa
MkurugenziwaMawasilianoyaRais,
IKULU
Dar es Salaam
21 Septemba, 2016
0 comments:
Post a Comment