Image
Image

Rais wa zamani wa Brazil Lula da Silva akabiliwa na mashtaka ya rushwa

Rais wa zamani wa Brazil Lula da Silva akabiliwa na mashtaka ya rushwa baada  ya jaji wa nchini humo Sergio Moro kudai kuwa Lula da Silva alipokea rushwa ya zaidi ya miloni 1,1 za dolla kutoka katika kampuni ya mafuta ya serikali ya  Petrobas.
Jaji huyo alifahamisha kuwa anao ushahidi tosha kufuatia tuhuma hizo zinazo mkabili  rais huyo wa zamani wa Brazil.
Kwa upande wake Lula da Silva alikanusha madai hayo na kusema kuwa ni uongo mtupu.
Ifahamke ya kwamba mamno mwezi uliopita Lula da Silva na mkewe waliitwa na idara ya polisi ili kujieleza kufuatia hoteli waliojenga Ufukweni mwa mji wa Sao Paolo katika eneo la Guaruja.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment