Ripoti
hiyo ambayo imezinduliwa leo 29.09.2016 hapa Makumbusho ya Taifa
(Posta, Mkabala na chuo cha IFM), itabainisha maoni ya wananchi.
Je wananchi wana maoni gani kuhusu Rais Magufuli kuitwa dikteta?
Je wana lipi la kusema kuhusu Vyama vingi na uhuru wa kutoa maoni?
Wanasapoti maandamano ya UKUTA, na wanapanga kushiriki?
Kwa mujibu wa ripoti hiyo imebainisha yafuatayo kuhusu maswali hayo;
=> Asilimia 60 ya wananchi wanaunga mkono kuzuiwa kwa mikutano ya kisiasa, ikiwemo 31% ya wafuasi wa vyama vya upinzani.
=> Takwimu kuhusu utayari wa watu kujiunga na maandamano.
=> Takwimu: 16% ya wananchi wanafahamu harakati za UKUTA, huku 79% wakiwa hawafahamu harakati hizo.
=> Takwimu: Miongoni mwa wale wanaofahamu UKUTA, 48% wameelezea kwa usahihi kuwa ni Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania.
Source:JF
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment