Image
Image

Al Shabaab wavamia Mandera nchini Kenya,6 wafariki

Polisi Kaskazini Mashariki mwa Kenya mjini Mandera wafahamisha watu sita kuuawa baada ya shambulizi kutekelezwa na wanamgambo wa Al Shabaab.Inasemekana kuwa Al Shabaab walikuwa wanalenga kushambulia jumba moja lililokuwa linalindwa kwa ua walipovamia mapema asubuhi siku ya Alhamis.
Mkuu wa polisi Joseph Boinnet  aliambia shirika la habari la AFP kuwa watu 33 waliokuwa ndani ya eneo la jumba hilo wameokolewa .
Mkuu wa usalama Mohamud Ali Saleh alisema kuwa washambuliaji hao walitumia mabomu ili kuweza kuingia katika jumba hilo lililokuwa chini ya ulinzi mkali.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment