Michezaji wa timu ya taifa ya Uturuki na mshambulia Bayer
Leverkusen ya Ujerumani Hakan Çalhanoğolu mwenye umri wa 22 achaguliwa
kama mchezaji bora wa wiki katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga.Kwa
mujibu uchunguzi uliofanywa kupitia tovuti ya Bundesliga.com Hakan
alijinyakulia asilimia 44 kwenye orodha ya wachezaji waliochaguliwa
katika wiki ya 6 ya ligi hiyo.
Hakan alitunukiwa tuzo hiyo baada ya kuonesha uwezo mkubwa katika mechi ya Bayer Leverkusen dhidi ya Borussia Dortmund ambapo Bayer Leverkusen waliibuka na ushindi wa bao 2-0.
Hakan alitunukiwa tuzo hiyo baada ya kuonesha uwezo mkubwa katika mechi ya Bayer Leverkusen dhidi ya Borussia Dortmund ambapo Bayer Leverkusen waliibuka na ushindi wa bao 2-0.
0 comments:
Post a Comment