Mkutano huo baina ya Uturuki na nchi za Ghuba
utagubikwa na hali ya inayojiri mashariki ya kati na maendeleo kwa
ujumla katika ukanda huo.Katika mkutano huo bain aya Uturuki na
nchi za Ghuba utawakutanisha mawaziri wa mambo ya nje Alhamis katika
mji mkuu wa Saudi Arabia .
Katika mkutano huo kutazungumziwa masuala tofauti ikiwemo masuala ya kisiasa katika eneo la Mashariki ya Kati na kudumisha uhusiano bain aya Uturuki na mataifa ya Ghuba.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kituo cha habari cha SPA cha Saudi Arabia ni kwamba waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu atashiriki katika mkuta no huo.

0 comments:
Post a Comment